Ni Salama Live DVD Recording na Pastor Safari

Ni Salama Live DVD Recording na Pastor Safari

Ni Salama LiVE DVD RECORDING na Pastor Safari Paul.
Baada ya uzinduzi wa audio CD ya Ni Salama, sasa ni live DVD recording. Ni tamasha la Kimatafia, na ibada ya kusifu yenye nguvu za Mungu, kubadilisha maisha yako!! Usikose tukio hili la kihistoria!!!

Organizer

Anna Munyagi

Organizer's social media accounts

City Christian Center (CCC) - Upanga, DAR ES SALAAM

Sun 21, May 2017

3:00am

Ticket information
Ticket type Entry
Special Seat Ticket 5,000 TZS
Normal Ticket 5,000 TZS
#Past event